Do your best to keep away from defilement and also make sure that you live a Holy life. Daniel 1:8 “8 But Daniel resolved that he would not defile himself with the king's food, or with the wine that he drank. Therefore he asked the chief of the eunuchs to allow him not to defile himself.”
Become a REPENTING person. When you commit sin, ask for pardon which will make Peace to in run your whole life of Salvation. You can never see God without Peace in your heart; so Peace is an essential thing in our Service and Daily lives.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:
Mtu wa Mungu uliyeokoka jitahidi sana kukaa mbali na unajisi na hakikisha unaishi Maisha Matakatifu. Danieli 1:8 “Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi”
Hakikisha unakuwa mtu wa TOBA, ukikosea kubali na uombe Msamaha ili kusababisha Amani iweze kutawala katika Maisha yako ya WOKOVU, maana huwezi kumuona Mungu bila kuwa na Amani ndani ya MOYO wako hivyo AMANI ni muhimu sana katika UTUMISHI wetu na Maisha yetu ya kila siku.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments