Being MARRIED is a sign that you are WELL BEHAVED. You might have a beautiful face, and though they like faces, they don’t marry faces. When it comes to marriage, they marry a person and a person is CHARACTER.

Your Beauty belongs to you and a Marriage belongs to the people because there has be Joy in that family. Nobody likes to marry with the desire to have quarrels with his neighbours, kin or his family. It is your CHARACTER that opens a way to a having Good Marriage.

Marriage belongs to God and so, before you get married, you first need to PLEASE God. The Bible says, “Money and wealth is a heritage that one gets from his parents, but a good Wife comes from the LORD.” So, to have a good wife or husband and one that has a good Character, HE has to be pleased with you first.

If your daughters are not getting Married, it because you have not raised them well. Ask yourself, how well you have raised your daughters. Have you prepared them to be good Wives or thugs?
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Translation:

KUOLEWA ni ishara kwamba anayeolewa ana TABIA NJEMA, ni kweli unaweza ukawa na Sura nzuri lakini watu hawaoi Sura bali wanapenda Sura, lakini inapofika kwenye swala la kuolewa anaoa Mtu na Mtu ni TABIA.

Uzuri wako ni wako na Ndoa ni ya watu kwa sababu lazima kuwe na Furaha katika hiyo Familia hivyo hakuna mtu anayeoa huku anataka kelele na majirani ndugu au familia yake, Tabia yako ndiyo inayofungua Njia kuwa na NDOA NZURI.

Ndoa ni ya Mungu hivyo ili uolewe unahitai kwanza Mungu AKUFURAHIE, Biblia inasema “mali na fedha ni urithi mtu apatao toka kwa wazazi wake, lakini mke mwema mtu hupewa na BWANA” sasa ili Mungu akupe mume au mke mzuri na mwenye Tabia nzuri ni lazima YEYE akufurahie kwanza.

Wewe mama kama binti zako hawaolewi ni kwa sababu ya Malezi yako mabaya, sasa jiulize binti zako umewaleaje? Umewaandaa kuwa Wake wazuri au majambazi?
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments