You may think about doing various things, but God looks at the wisdom used in your thoughts before giving you what you asked for.
In order for God to give a person financial blessings, HE first looks at whether that person has wisdom within him/her, if it is not within him/her, he/she can't receive since he/she may misuse it. God knows that when his person lacks wisdom, WEALTH will mislead him/her and it will take him/her away from having fellowship with God and thus will become worldly.
The wealth that the sons of God have, is so that they may build God's Kingdom, who is our Father; stay away from things that attract your eyes but keep hid upon the things that the Spirit of God and HIS word agree upon.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Unaweza kuwaza ufanye mambo tofauti tofauti, lakini Mungu anaangalia Hekima iliyotumika katika Mawazo yako kabla ya kukupa kile ulichomuomba.

Ili Mungu ampe mtu Baraka za Fedha, anaangalia kama huyo Mtu ana Hekima ndani yake na kama haipo hapewi asijekuitumia vibaya, kwani Mungu anajua Mtu wake asipokuwa na Hekima MALI zitampeleka pabaya na zitamuondolea Ibada yake na YEYE, hatimae atafanya kama watu wa Duniani.
Mali walizonazo Wana wa Mungu ni kwa ajili ya kuujenga Ufalme wa Mungu aliye BABA YETU, epuka mambo ambayo macho yako yanatamani bali zingatia yale ambayo NENO la Mungu na Roho wa BWANA wanaridhia uyafanye.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."