When you are given responsibilities, whether it be related to your faith or society; make sure that you protect your faith, and you do not need to complain concerning the challenges that you face. When any servant leaves his/her roles because of the pains he/she is going through; recognize that he/she has not accomplished the roles assigned unto him/her.
Once you refuse to do the tasks assigned unto you by your leader, you cause your faith to decline and thus failure to reach your VICTORY; thus do not disturb your leaders who are ahead of you, but respect them and submit unto them; by doing so, you are doing for the Lord and protecting your faith; since once you protect your faith, VICTORY is mandatory.
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Ukipewa Majukumu yoyote yawe ya Kiimani au ya Kijamii hakikisha unalinda Imani yako, wala usilalamike kwa hali utakayokutana nayo, Mtumishi yeyote akiacha nafasi aliyopewa kwa sababu ya maumivu anayopitia ajue Kazi aliyotumwa hajaimaliza.

Unapogoma kufanya Kazi uliyotumwa na Kiongozi wako unasababisha Imani yako kupungua na kushindwa kufika kwenye USHINDI wako, Hivyo usiwasumbue Viongozi wako waliyo juu yako bali Waheshimu na Kunyenyekea, unapofanya hivyo unafanya kwa ajili ya Bwana na kulinda Imani yako, maana unapolinda Imani yako USHINDI kwako ni lazima.
©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments