What is the real meaning of Salvation? Salvation is not a unique lifestyle that others cannot be able to live, NO!!! But it is what Jesus does after receiving HIM. After receiving Jesus, HE does something in you day by day; so allow HIM to do so within your life.
The life of man without Jesus Christ is the result of all evil, to the extent that man faces oppression which is a sign of God's wrath.
Why did the Israelites stay in slavery for a long time within Egypt? It is because of Abraham's mistake. Abraham slept before God's presence once, and due to that God told him that his offspring shall be enslaved for four hundred years. A question to ask yourself! How many times do you sleep before the Lord's presence? You may think that it is a small issue, but you should be keen enough when you are in the Lord's house.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira- EFATHA MINISTRY.


#Translation

Nini maana halisi ya Wokovu? Wokovu siyo maisha ya kipekee ambayo wengine hawawezi kuishi, hapana! bali ni kile Yesu anafanya baada ya kumpokea YEYE. Baada ya kumpokea Yesu anafanya kitu kwa jili yako siku kwa siku, hivyo mruhusu afanye hivyo katika maisha yako.
Maisha ya mwanadamu bila Kristo ndiyo chanzo cha uovu wote mpaka kufika katika makandamizo ambayo hayo makandamizo ni ishara ya ghadhabu ya Mungu.
Kwa nini wana wa Israel walikuwa utumwani Misri kwa muda mrefu? Kwa sababu ya kosa la Ibrahimu, Ibrahimu alilala Ibadani mara moja tu na alipo amka Mungu akamwambia kwa sababu hiyo kizazi chako kitaenda utumwani kwa miaka mianne. Swali la kujiuliza je! Wewe ni mara ngapi unalala ibadani? Unaweza kufikiri ni jambo dogo sana lakini unapaswa kuwa makini unapokuwa katika nyumba ya Bwana.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira- EFATHA MINISTRY.


Comments

Post a Comment