THE LOVE OF GOD:
The LOVE of God is what enables a person to do the best
at his/her work. God created the heavens and the earth and HE created man
because HE loved to do so. HE LOVED TO CREATE. The same applies to you, if you
want to create anything, you must first LOVE it, then shall you be able to do
it.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
#Translation© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
UPENDO WA MUNGU:
"PENDO la Mungu ndilo linalomsababisha Mtu apende kufanya KAZI kwa
UBORA. Mungu aliumba Mbingu na Nchi, akawaumba na Wanadamu kwa sababu alipenda
kufanya hivyo, ALIPENDA KUUMBA HIVYO. Na wewe kama unataka Kuumba au Kubuni
kitu chochote kile ni lazima UKIPENDE kwanza ndipo utaweza Kukifanya."
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA
MINISTRY.
Comments
Post a Comment