PENDO LA MUNGU:
Mhubiri 7:1 “Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.”
Utapataje SIFA njema? kwa kufanya VIZURI utapata Sifa Njema, unapofanya VIZURI Sifa yako inakuwa Njema kwa Mungu hata kwa watu pia, lakini unapofanya vibaya Sifa yako inakuwa mbaya.
Ili uweze kufanya VIZURI katika kitu chochote kile lazima uwe na UPENDO ndani yako, kwa sababu PENDO ndilo linalosababisha UFANYE VIZURI na uwe na SIFA NJEMA. Huwezi kufanya Vizuri katika kitu chochote kile kama huna Mungu kwa sababu MUNGU ni PENDO.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."