In this Year, there shall be an
Awesome Turmoil within your Life, so as to make whatsoever that was preventing
and disturbing you; to leave You. In this Turmoil, Goodness shall be attracted
unto You.
:- Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).
Mwaka huu kutakuwa na Mtikisiko wa kushangaza katika
Maisha yako ili kuyafanya yale yaliyokuwa yanakuzuia na kukusumbua Yakuachie.
- Katika Mtikisiko huu, utasababisha Mema ya milele Yakujilie.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).- Katika Mtikisiko huu, utasababisha Mema ya milele Yakujilie.
Comments
Post a Comment