WHY DO MARRIAGES BREAKUP?
It is because, people have lacked the Knowledge and Understanding concerning marriage; before people entered into marriage, they did not learn about marriage.
All the professionals that we see here on earth (doctors, engineers, and so more.........) have learnt a lot about those professions. The same is with marriage, "the Knowledge about marriage before entering into marriage, is what builds a strong marriage."
#SEEK_KNOWLEDGE CONCERNING MARRIAGE, THE PURPOSE OF MARRIAGE, AND WHY DID GOD PUT MARRIAGE.
In seeking the Knowledge about MARRIAGE; do not take Knowledge from someone who has not been married or a person who has failed in marriage.
Proverbs 9:6 "Forsake the foolish, and live; and go in the way of understanding."
The married couples need to go to the Founder of the Government of marriage who is GOD, so as to know why God put marriage.
- GOD is the Founder of marriage, and HE shows the position and role of each one; meaning that what the Husband and Wife should do.
© Mama Eliakunda Josephat Mwingira (EFATHA MINISTRY).
#Translation
KWA NINI NDOA ZINAVUNJIKA?

- Ni kwa sababu watu wamekosa Maarifa na Elimu kuhusu ndoa; kabla ya watu kuingia katika ndoa hawakujifunza kuhusu Ndoa.
- Wataalamu wote tunaowaona chini ya jua (madaktari, wahandisi, n.k…) wamejifunza vya kutosha kuhusu hizo taaluma zao. Vivyo hivyo katika ndoa, Elimu ya Ndoa kabla ya kuingia katika ndoa ndiyo hujenga Ndoa imara.
#TAFUTA_MAARIFA KUHUSIANA NA NDOA, KUSUDI LA NDOA, NA KWA NINI MUNGU AMEWEKA NDOA.
- Katika kutafuta Maarifa ya NDOA, usichukue maarifa kwa mtu ambaye hana ndoa au aliyeshindwa katika ndoa.
Mithali 9:6 "Enyi wajinga, acheni ujinga, mkaishi, Mkaende katika njia ya ufahamu."
Wana Ndoa wanahitaji kumwendea mwenye Serikali ya Ndoa ambaye ni Mungu ili kujua kwa nini MUNGU aliweka NDOA.
- Mungu ndiye Mwasisi wa Ndoa, na anaonyesha nafasi ya kila mmoja, yaani mme afanye nini na mke afanye nini.
© Mama Eliakunda Josephat Mwingira (EFATHA MINISTRY).

Comments