There are people who after they are saved, they want to get everything on the spot, they want to be recognized in that same year; remember that, if God brings them very early, you will forget Him, since the things will confuse you to the extent that you will forget Him because of things.
If you get everything while you are young in faith, you will do things in arrogance and you will forget where you came from, but once you wait before the Lord; God will give you permanent things and not those that pass by because He will send His protection upon you and He will go ahead of you everywhere, so that whatever is against you may meet with His POWER.
Always desire to learn and settle before God so that you may be better each day, even when you get God's blessings, they will not confuse you because you are already firm; you know where God took you from, where you are and where you are heading to.
   :- Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Kuna watu ambao Wakiokoka wanataka wapate kila kitu wakati huo huo. Wanataka watu wawatambue Mwaka huo huo, kumbuka kama Mungu akivileta vyote kwa haraka, vitakuchanganya na utamsahau Mungu kwa sababu ya vile vitu ulivyo navyo.
Kama ukipata kila kitu ukiwa mchanga katika Imani, utafanya mambo kwa kujivunia na kusahau ulikotoka lakini ukitulia mbele za Mungu, Mungu atakupa vitu vya kudumu na siyo vya kupita, kwa sababu atatuma Ulinzi wake juu yako na atakutangulia kila sehemu, ili chochote kilicho kinyume na wewe kikutane na Nguvu yake.
Siku zote tamani Kujifunza na Kutulia mbele za Mungu ili uweze kuwa bora zaidi, hata utakapopata Baraka za Mungu hazita kuchanganya kwa sababu tayari unakuwa Imara, unajua Mungu Amekutoa wapi, Uko wapi na Unaenda wapi.
   :- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments