God will not allow your healing if within you there is no LOVE. If you don't have the LOVE of God, you will not be able to receive from God. God is Spirit, so if you have received the LOVE of God, this means that the Spirit of God is with you.
Wherever you will go, people shall receive you because you have carried the LOVE of God; the LOVE of God can work or perform through your eyes, this means that whatever you shall see, it will see you as well. FAITH will always be built within a person who has the LOVE of God and once it is built within him/her, he/she will see God lifting him/her day by day because the LOVE of God is within him/her.
   :- Servant of GOD Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

#Translation


Mungu hata ruhusu uponyaji kwako kama ndani yako hakuna upendo, kama huna pendo la Mungu hutaweza kupokea kutoka kwa Mungu, Mungu ni Roho kwa hiyo kama umepokea pendo la Mungu, maana yake Roho wa Mungu yupo pamoja nawe.
Kokote utakapotokea watu watakupenda kwa sababu umebeba pendo la Mungu, pendo la Mungu linaweza kufanya kazi kupitia macho yako, maana yake chochote utakacho kiona na chenyewe kitakuona, mtu mwenye pendo la Mungu lazima IMANI itaumbika ndani yake na ikishaumbika ndani yake, ataona Mungu akimuinua siku hadi siku kwa sababu tu amejaza Pendo la Mungu ndani yake.
  :- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments