EYES:
The EYES are what reveal the LOVE of God that is within you, because it is in LOVE alone that there is FULLNESS of God. The LOVE of God is in your sight; what do you see?
You will never succeed in your Life if your EYES are not in LOVE; once your Eyes don't enter in the LOVE of God, they will carry you and take you to sin and cause you to do what annoy GOD.
So, the LOVE of God is essential to you, because once you have the LOVE of God it is easy to see what is of GOD.
:- Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
#Translation
MACHO:
Macho ndiyo yanathibitisha PENDO la Mungu ndani yako, maana ni katika PENDO tu ndiyo kuna UKAMILIFU wa Mungu, Pendo la Mungu lipo katika KUONA kwako, unaona nini wewe?

Hutokaa ufanikiwe katika Maisha yako kama MACHO yako hayapo katika PENDO, Macho yasipoingia katika PENDO la Mungu yatakubeba na kukupeleka katika dhambi, nakusababisha ufanye yale yasiyompendeza MUNGU.
Kwahiyo Pendo la Mungu ni muhimu sana kwako, maana ukiwa na Pendo la Mungu ndani yako ni rahisi sana kuona yale yaliyo ya MUNGU.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments