Why is it that in this world a few are used by God? It is because, very few people are ready to offer themselves to God, but many go to God and tell Him that; "once you heal me or do for me this and this, I will serve You." This is the same as them going to God with a contract.

Do not carry any reason or contract to God so as to serve Him; God has given you Life, Air to breath, the Feet you are using are not yours but HIS and whatsoever that you have; then what do you give to HIM who gave you all that? Serve HIM and offer yourself unto HIM.

The Day you will accept to OFFER yourself unto God so as to SERVE Him, without reasons or contracts, HE will use you to the FULLEST and give you all that you need, even before you ask from HIM because HE knows your needs.

© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.




Kwa nini katika ulimwengu huu watu wachache Wanatumiwa na Mungu? Kwa sababu ni watu wachache tu ambao wapo tayari kujitoa kwa ajili ya Mungu, lakini waliyo wengi wanakwenda kwa Mungu na kumwambia kuwa ukiniponya au ukinifanyia hiki nitakutumikia, yaani inakuwa ni sawa na wanakwenda kwa Mungu kwa Mikataba. 

Usibebe sababu au mkataba wowote kwa Mungu ndipo umtumikie, Mungu amekupa Maisha, Pumzi unayovuta, Miguu unayotumia siyo yako ni yake na kila ulichonacho, sasa unatoa nini kwa aliyekupa hivyo vyote? Mtumikie YEYE, jitoe kwa ajili yake. 

Siku utakapokubali KUJITOA kwa Mungu ili UMTUMIKIE pasipo sababu au mkataba wowote ule, YEYE atakutumia kwa UKAMILIFU na Kukupa vyote unavyovihitaji hata kabla haujamuomba maana YEYE anajua Uhitaji wako. 

© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments