Safari ya IMANI inaanza na UPENDO wa MUNGU. Upendo ni Tabia sio maneno, hivyo lazima umuonyeshe MUNGU kwamba UNAMPENDA kupitia MATENDO yako.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.



Comments