Kufikia mahali pa Juu (Kileleni) haitokani na Maombi
unayoyaomba, bali inategemeana sana na SHAUKU YA MOYO WAKO. Usisubiri mtu
akutie Moyo bali jitie Moyo mwenyewe.
Ukiona yamekuja ya kukutikisa mwambie BWANA; "Ee BWANA
NIINUE, KWA IMANI NISIMAME, NIIPANDE MILIMA YOTE."
MUNGU AKAKUPE KUFIKA KILELENI KATIKA SAFARI YAKO YA IMANI.
© Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA
MINISTRY.
Comments
Post a Comment