Always learn to stay closer to a person who is JOYFUL; because once you stay closer to a person who is JOYFUL, he/she will cause you Prosper and Blossom in your life.
If you are close to a sorrowful person, he/she will cause you to remember your sorrows and pains of the past; and this will limit you from becoming the Best Version of yourself since sorrow will be within your heart.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

#Translation

Mara zote jifunze kukaa karibu na mtu mwenye FURAHA, kwa sababu ukiwa karibu na mtu mwenye FURAHA, atakusababisha uweze Kustawi na Kufanikiwa katika Maisha yako.
Ukiwa karibu na mtu mwenye huzuni, itakusababisha wewe ukumbuke machungu na huzuni yako iliyokuumiza nyuma, utashindwa kuwa bora kwa sababu huzuni inakuwa imejaa ndani ya Moyo wako.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments