When you come closer to a person who has JOY; you will be motivated and inspired to think better about your FUTURE. But when you come closer to a Person who has sorrow, you will fill petty about yourself and you will be reminded about your sorrows.

©A Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

TRANSLATIONS:

Ukiwa karibu na mtu mwenye FURAHA itakuhamasisha kuwaza vyema kuhusu UBAADAE wako. Lakini ukiwa karibu na mtu mwenye huzuni, itakupelekea kujihurumia na kukumbuka machungu yako. "Ili ufanikiwe, unahitaji kuwa na FURAHA."

 ©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).



Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."