IF YOU WANT TO SEE GOD IN YOUR LIFE, LEARN THE FOLLOWING:-
• Live the Life of Salvation; this means that receive Jesus to be the LORD and SAVIOR of your Life.
• Live the LIFE of Faith.
• You must learn to HATE and DEPART from sin. Why sin? It is because sin gives birth to death and poverty, also it causes God to stay far from you.
• BIND the devil with all your strength and with all mighty.
• Look at your RELATIONSHIP with the Church.
• Be a person of GRATITUDE.
• Be a person who carries TESTIMONY; your Character and Actions must resemble a pesron of FAITH as part of a Testimony.
© A SERVANT OF GOD APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – EFATHA MINISTRY.

KAMA
UNATAKA KUMUONA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO JIFUNZE YAFUATAYO:-
• Uishi Maisha ya Wokovu, yaani umpokee Yesu kuwa BWANA na MWOKOZI wa Maisha yako.
• Ishi MAISHA ya Imani.
• Lazima ujifunze KUKATAA na KUICHUKIA dhambi, kwa nini dhambi ? Kwa sababu dhambi inazaa mauti na umaskini, pia inasababisha Mungu akae mbali na wewe.
• MPINGE shetani kwa nguvu zako zote na kwa gharama yeyote ile.
• Angalia UHUSIANO wako na Kanisa.
• Uwe mtu wa SHUKRANI.
• Uwe mtu uliyebeba USHUHUDA; Matendo, Tabia na Mwenendo wako lazima vifanane na mtu wa IMANI, ikiwa kama sehemu ya Ushuhuda.
© MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – EFATHA MINISTRY.

Comments
Post a Comment