God says that HE does new things that itch every ear that hears; but if your CHARACTER is bad, that promise cannot be fulfilled in your life. The language that you are using can be an hindrance to your life; when you decide to anything, don't say that you are TRYING because trials have two outcomes: SUCCESS and FAILURE. For instance, if you want to own a car, first get a License; if you want to have a house, first look for a piece of Land; if you want to travel abroad, first look for a Passport; and if you want to study, first look for the University or Institution. "Those are the PREPARATIONS for obtaining what you desire."
© A Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY.)






Mungu anasema kwamba, anatenda jambo Jipya na kila sikio litakalosikia litawasha lakini kama Tabia yako si nzuri hiyo ahadi haiwezi kutimia katika Maisha yako. Lugha unayotumia na Mawazo unayojiwazia ni kikwazo katika Maisha yako, unapoamua kufanya jambo lolote, usiseme kuwa UNAJARIBU kwani kila jaribio lina matokeo mawili: Kufanikiwa au kushindwa, bali fanya kwa uhakika wa KUFANIKIWA. Mfano ukitaka kumiliki gari tafuta Leseni kwanza, ukitaka kuwa na Nyumba, tafuta Kiwanja kwanza ukitaka kusafiri nje ya nchi tafuta Pasi ya kusafiria kwanza, na ukitaka kusoma uchague Chuo kwanza. Hayo ni MAANDALIZI kwa ajili ya Kumiliki yale unayotarajia.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).



Comments