BE CURIOUS, BE EAGER TO KNOW THINGS. ALWAYS LEARN TO BE WITH THE DOERS NOT THE IDLE PEOPLE. If you want to do business, come closer to the Doers, because they are always sharing about what they have accomplished; and this will open your Mind.
© A Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).

TRANSLATIONS:

Uwe na SHAUKU ya kujua mambo. Mara zote jipendekeze kwa wale waliofanikiwa na taka kujifunza kutoka kwao; kama unataka kufanya biashara, kaa na waliofanikiwa katika biashara na ujifunze kutoka kwao, mara zote waliofanikiwa wanazungumzia yale walioyafanikisha, jambo hili litasababisha akili na ufahamu wako kupata nuru.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).


Comments