It is the WILL of GOD towards you, to be filled with the HOLY SPIRIT so that you may have the POWER of God.
Why does God want you to have His POWER? It is because;
• Here on earth, without the POWER of God, witches will torture you.
• Poverty will abide on you to the end and it will not leave you.
• Illness and sicknesses will not depart from you; only the POWER of God can heal and secure you from illness and sicknesses.
© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, (EFATHA MINISTRY).






Ni mapenzi ya MUNGU kwako wewe kujazwa Roho Mtakatifu ili kwamba uwe na NGUVU za Mungu.
Kwa nini Mungu anataka wewe uwe na Nguvu zake? Kwa sababu:-
• Hapa Duniani pasipo NGUVU za MUNGU wachawi watakufanya mshikaki.
• Umaskini utakushikilia mpaka mwisho na kamwe hauta kuachilia,
• Maradhi na magonjwa kamwe hayata ondoka kwako, ni Nguvu za Mungu pekee ndizo zinazoweza kukuhuisha na kufanya magonjwa yakae mbali na wewe.
Yeyote aliyejazwa na Roho Mtakatifu amebeba NGUVU za MUNGU, na mara zote anapata msaada kutoka kwa MUNGU anapokuwa katika uhitaji wa aina yeyote ile.
NGUVU za MUNGU ni za muhimu sana katika maisha yako.








Comments