HOW WILL YOU MAKE THE BEST OUT OF YOUR LIFE? (Continues…..)
If you see that someone is living a successful life free from debt and living in PEACE and JOY, don't flutter against him/her but you are supposed to CHANGE so that the evil spirit may not dwell upon you.
The evil spirit cannot depart from you until you HATE the devil; the devil is a thief, liar and a killer. If you see that you are in debt recognize that you are with the devil. (Will continue….)
© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).

UTAFIKAJE KUFANYA
MAISHA YAKO YAWE BORA? (Inaendelea......)
Ukimuona mtu anaishi Maisha yake kwa kuchanua hana madeni bali anaishi kwa AMANI na FURAHA, usimuonee wivu bali wewe unapaswa KUBADILIKA ili hiyo roho Mbaya ISIKUKALIE.
roho Mbaya haiwezi kukuondoka mpaka UMCHUKIE ibilisi, ibilisi ni mwizi, muongo na kazi yake ni kuchinja na kuua. Ukiona unadaiwadaiwa jua kuwa ibilisi yuko na wewe maana yeye kazi yake ni uongo hivyo kakuambukiza na wewe ili ufanane na yeye. (Itaendelea.........)
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).

Comments
Post a Comment