HOW WILL YOU MAKE THE BEST OUT OF YOUR LIFE? 
How will you reach towards GOD'S WILL? Or how will you reach towards making the best out of your life? You will manage to create the best out of your life by doing the BEST. This means that by doing that which PLEASES GOD. If you want to blossom in your everyday life; DESIRE to do the best for the KINGDOM of GOD. If you see that you are not blossoming, this means that you are doing poorly. If you see somebody doing the best, recognize that he/she is doing things with the HOLY SPIRIT and if you see a person doing poorly, recognize that the evil spirit is upon him/her.
If you see that a person is living his/her life successfully and blossoming free from debts; and living in PEACE and JOY, don't flutter against him/her but recognize that you are supposed to CHANGE so that the evil spirit may not dwell upon you. (To be continued.....................)
© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, (EFATHA MINISTRY).


UTAFIKAJE KUFANYA MAISHA YAKO YAWE BORA?
Utafikiaje kufanya MAPENZI ya Mungu? Au utafikaje kufanya MAISHA yako yawe Bora? Utaweza kufanya Maisha yako yawe BORA kwa wewe kufanya VIZURI, ina maana kuwa ufanye yale YANAYOMPENDEZA YEYE (Mungu). Ukitaka kuchanua katika Maisha yako siku zote TAMANI kufanya Vizuri kwa ajili ya UFALME wa Mungu, ukiona hakuna kuchanua maana yake unafanya Vibaya. Ukimuona mtu anafanya Vizuri jua kuwa anafanya na ROHO MTAKATIFU, na ukiona mtu anafanya vibaya jua kuwa roho Mbaya ya Yule mwovu ibilisi imemkalia.
Ukimuona mtu anaishi Maisha yake kwa Kuchanua hana madeni bali anaishi kwa AMANI na FURAHA, usimuonee Wivu bali wewe unapaswa KUBADILIKA ili hiyo roho Mbaya ISIKUKALIE. (Itaendelea.........)
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).


Comments