Acts 1:8 "But ye shall receive power, after
that the HOLY GHOST is come upon you: and ye shall be witnesses unto me both in
Jerusalem, and in all Judaea, and in Samaria, and unto the uttermost part of
the earth."
Why POWER? We need POWER so that it may enable us to become the WITNESSES of GOD; so once you desire it to come unto you, the aim should not be to get money or wealth, but desire it so that you may become HIS WITNESS.
Many people fail to receive the POWER of GOD because in their minds they need that POWER so that they may get Wealth and that is the reason to why they don't receive. If your focus will be to WITNESS that you are Born again, that JESUS came for your sake and that now you are able to Declare, Speak in TONGUES and Cast out demons; if the zeal and desire in you is this; that POWER will come and help you in Education, Marriage, at your Work place, in your Health and in every area of your Life.
© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).
Matendo 1:8 “Lakini mtapokea NGUVU, akiisha kuwajilia juu yenu ROHO MTAKATIFU; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi
wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.”
Kwa nini Nguvu? Tunahitaji NGUVU ili itusaidie sisi kuwa MASHAHIDI wake, hivyo unapo itamani hiyo Nguvu ikujilie usiitamani ili wewe upate pesa au mali, bali itamani ili ikuwezeshe wewe kuwa SHAHIDI wake.
Watu wengi wanashindwa kupokea Nguvu za Mungu kwa sababu katika Akili zao au Mioyoni mwao wanataka hizo Nguvu ili wapate Mali na ndiyo kwa sababu hawapati. Kama hoja yako itakuwa ni ili KUSHUHUDIA kuwa Umezaliwa mara ya pili, YESU alikuja Kwa ajili yako, sasa unaweza Kunena kwa Lugha, unaweza kufukuza mapepo; kama Shauku au Msukumo uliyo ndani yako ndiyo huo hiyo NGUVU itakuja na Kukusaidia katika Elimu, Ndoa, Kazini kwako, kwenye Afya yako na katika kila eneo la Maisha yako.
© Mtume na Nabii Josefhat Elias Mwingira, (EFATHA MINISTRY).

Comments
Post a Comment