You who is born again, You are NOT SUPPOSED to look at things the way they are; but look at them the way they are supposed to be. If you confess things by how they appear, you will suffer alot; because the world is filled with failure and lack. What do you see ahead of you? Do you see pain or LAUGHTER? Do you see lack or ABUNDANCY? God does not change things, or the devil will not attack you because of what others say but God will do basing on what you Say.
© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).
......................................................................................................
#TRANSLATION
Wewe uliyeokoka HUTAKIWI kuangalia Mambo kama yalivyo, bali angalia kama Yanavyopaswa kuwa. Ukikiri mambo kama yanavyoonekana utateseka sana, kwani dunia imejaa kushindwa na kukosa. Unaona nini mbele yako? Unaona maumivu au KICHEKO, unaona ukata au UKWASI? Mungu habadilishi mambo au shetani hakushambulii kwa sababu mtu fulani amesema, bali atafanya kulingana na unachosema.
© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY).

Comments
Post a Comment