What does it mean being the RIGHTEOUS? Being a Righteous means being His WITNESS. 

Acts 1:8 "But ye shall receive power, after that the Holy Ghost is come upon you: and ye shall be witnesses unto me both in Jerusalem, and in all Judaea, and in Samaria, and unto the uttermost part of the earth."

This means that wherever you are, Preach the GOSPEL whether to one person, two or many just PREACH! When you preach the Gospel or Testify, it means that you are showing the world that you are the RIGHTEOUS one of God and you are showing God that; "I am Yours!!!"

If you will not PREACH or TESTIFY about JESUS who died for you; this is the reality, "your SALVATION and RIGHTEOUSNESS will diminish and from that time the devil will kick you all sides, and from then on, you will start sinning and being in problems all the time.

Desire to make others to KNOW God, since this is what we were called for here on earth. 

© Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, (EFATHA MINISTRY).

......................................................................................................

Nini maana ya kuwa MWENYE HAKI wa Mungu? Ni kuwa SHAHIDI wake. 

Matendo 1:8 “Lakini mtapokea NGUVU, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa MASHAHIDI wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.” Hii ina maana kuwa popote ulipo hubiri INJILI kama ni kwa mmoja wawili au wengi HUBIRI, ukihubiri Injili au unaposhuhudia ina maana kuwa unauonyesha Ulimwengu kuwa Mimi ni mwenye HAKI wa Mungu na unamuonyesha Mungu kuwa mimi ni wako. 

Kama HUTAHUBIRI au KUSHUHUDIA kwa Habari za YESU aliyekufa kwa ajili yako; huu ni ukweli kuwa WOKOVU au ile HAKI yako inafifia na kuanzia hapo ibilisi atachukua nafasi ya kukupiga huku na kule, na ndipo utaanza kutenda dhambi na kuwa kwenye matatizo wakati wote. 

Tamani kuwafanya wengine WAMJUE Mungu, kwani hii ndiyo kazi tuliyoitiwa huku Duniani.

© Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, (EFATHA MINISTRY).




Comments