THE SPIRIT OF THE FEAR OF THE LORD


When a person fears the LORD, he/she is given the MIND to start Life, even if what he/she has at hand is not sufficient but through this SPIRIT you are given ABILITY. For this reason, the spirit of debt IS NOT of God, because HE pays. The Spirit of the Fear of the LORD is the source of WISDOM and UNDERSTANDING which is manifested through the PROSPERITY of a Person; because HE helps you on how to Move so that God may make you PROSPEROUS.

Job 36:10-11 "He openeth also their ear to discipline, and commandeth that they return from iniquity. If they obey and serve Him, they shall spend their days in prosperity, and their years in pleasures."

In order for we to reach the stage of blossoming, we must depart from the evil ways and wickedness. Once you Accept to OBEY God and do HIS WILL, it's when you start to PROSPER. 

Exodus 14:14 "The LORD shall fight for you, and ye shall hold your peace."

APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY).


ROHO WA KUMCHA BWANA:

Mtu anapomcha BWANA, anapewa Akili ya kuanza Maisha, hata kama anaona alichonacho hakitoshelezi, kupitia ROHO huyu ANAWEZA. Kwa ajili hii, roho ya Kuomba omba na madeni SIO ya Mungu, maana YEYE analipa. ROHO wa Kumcha BWANA, ni Hekima na Mwanzo wa Maarifa ambayo huonekana kupitia USTAWI wa mtu, maana husaidia namna ya Kuenenda, ili Mungu AKUSTAWISHE na KUKUFURAHISHA siku zote. 

Ayubu 36:10-11 "Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu. Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha. Lakini wasiposikia, wataangamia kwa upanga, Nao watakufa pasipo maarifa".

Ili tufike hatua ya Kuchanua ni lazima TAUCHANE na Njia mbovu na lugha za ukaidi. Unapokubali KUMTII Mungu na kufanya MAPENZI yake ndipo UNAPOSTAWI.

Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya”.

MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY)



Comments