LIFE: Seek LIFE.

WHEREVER GOD IS, THERE IS POWER AND WHEREVER POWER IS, THERE IS LIFE. IN LIFE, THERE IS SUSTAINABILITY.
© Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).

#TRANSLATION

"Tafuta kuwa na UHAI. Popote MUNGU alipo, NGUVU zake zipo, na palipo na NGUVU zake, kuna UHAI. Usitumie muda mwingi kutafuta vitu, bali mtafute MUNGU mwenye vitu vyote. Katika UHAI, kuna UENDELEVU."
© Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).


Comments