HELP DURING THE TIME OF SHAME.

Once a rude and evil person destroys your reputation, you need more POWER of GOD; so as to take away the shame. God is so amazing, since HE will use the shame to exalt HIMSELF.
The more they destroy your reputation, is the more you are Exalted. As they said about Jesus being a son of a lumber, drunk, and a glutton is the more people came closer to HIM. Whatever they said against HIM, is the more HE was exalted and this is what will happen to those who are HIS; because they get the assistance of the POWER of God.
May be you are going through Marital problems, Family, Education, shame and failure is following you; then seek the POWER OF GOD of ASSISTANCE and GOD will give you assistance. When they hope that you will fail in studies, it’s when you cross over safely. Before you run towards someone for help, you need to make a Decision so as to know whom to run towards. Psalms 71:1"In thee, O LORD, do I put my trust: let me never be put to confusion."

© APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY).

#TRANSLATION


USAIDIZI WAKATI MAMBO YA AIBU YANAPOKUJIA.
Mtu mkorofi au mwovu anapoharibu Sifa yako, unahitaji NGUVU ya Mungu ya ziada, ili kukuondolea hiyo aibu. Mungu ni wa ajabu sana kwani atatumia uchafu wanaokuchafua nao ili KUJITUKUZA. Kwa kadiri wanavyokuchafua, ndivyo UTAKAVYOTUKUKA. Kama walivyomchafua Bwana YESU wakamwita seremala, mlevi, mlafi ndivyo watu walivyozidi kumsogelea. Kila walichosema kinyume cha Bwana YESU, ndivyo alivyozidi KUTUKUKA na ndivyo itakavyokuwa kwa WALIO wake, maana wanapata Usaidizi wa NGUVU ya Mungu.
Inawezekana unapita katika maumivu kwenye Ndoa, Familia, Shule, Aibu ya kushindwa imekuandama na mambo hayaendi vizuri, basi tafuta Nguvu ya USAIDIZI naye Mungu atakuletea USAIDIZI. Wakati wanatarajia kwamba utashindwa Masomo na Kufukuzwa, ndipo unapovuka salama. Kabla hujamkimbilia mtu kwa ajili ya Msaada, unahitaji kufanya Maamuzi ili ujue yupi wa kumkimbilia. Zaburi 71:1"Nimekukimbilia wewe BWANA nisiaibike milele".
© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - (EFATHA MINISTRY).




Comments