Upendo unaanzia nyumbani si Kanisani; ukijifanya unampenda Mpendwa mwenzako wakati haumpendi mke / mume wala watoto wako au wazazi wako huo ni uongo, na unahitaji kuokoka.
Anza kuwapenda wa nyumbani kwako kwanza hata kama hawapendeki, ndipo upendo wako kwa wengine utakuwa na maana.
© Mama Eliakunda Mwingira, (EFATHA MINISTRY).
...................................................................................................
#TRANSLATION
Love starts at home and not at church; if you pretend to love your Brethren while you hate your wife/husband, children or parents, that is hypocrisy and you need to be saved.
Start by loving those who are at your home, even if they aren't lovable; this is when your love to others will have meaning.
© Mama Eliakunda Mwingira, (EFATHA MINISTRY).

Comments