"Kabla hujazungumza chochote, acha kinywa chako kieleze kuhusu BABA yako wa mbinguni. Zungumza kuhusu Nguvu zake, Mamlaka yake, Uweza wake, Utajiri wake na Ufalme wake."
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment