Wewe upo kama BIBLIA inavyosema na siyo kama Waalimu au Wazazi wako walivyokufundisha na wala siyo kama Watu wanavyosema, wewe UMEKOMBOLEWA na UMEOSHWA kwa DAMU ya YESU, YESU anaishi ndani yako hivyo wewe ni WATOFAUTI na wengine.
JITAMBUE na ISHI sawa na vile MUNGU alivyokukusudia kabla ya Kuumbwa kwako.
: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY.)
JITAMBUE na ISHI sawa na vile MUNGU alivyokukusudia kabla ya Kuumbwa kwako.
: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY.)
Comments
Post a Comment