ZONE ZONE ZONE.
Zone ni Ibada ya Nyumba kwa Nyumba. Na Ibada hizi za Zone huwa zinafanyika kila siku ya Jumanne.......... ni IBADA KAMILI.
Je WEWE Ulikwenda Ibada za Zone katika eneo lako?
PICHANI:
Ni mojawapo ya Ibada za Zone zilizofanyika leo Duniani kote kwa Wana wa MUNGU Wana EFATHA. Mchungaji Caroline Jonathan akiongoza Ibada latika eneo dogo la Yerusalemu/ Nazareti Ubungo National Housing/ Legho.
HONGERA WEWE Uliyekwenda leo Ibadani.
Comments
Post a Comment