SOMO: KUZINGATIA.
FAIDA ZA KUZINGATIA.
Unapoamua KUZINGATIA moyoni mwako unasababisha TOBA, UPONYAJI na MABADILIKO KATIKA MAISHA yako, pia unasababisha ile hali ya kuwa na kiburi na kujikweza iondoke kwako. Luka 11: 21 " Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena".
Kuzingatia kunaondoa mabishano, mashindano na kujihesabia haki na kunaleta USAIDIZI, MSAMAHA, HURUMA, SHANGWE NA KICHEKO. Hali yako ya KUZINGATIA itakuponya na kukurudisha kwenye yale Mungu aliyokukusudia.
Mtumishi wa Mungu Mama Eliakunda Mwingira - EFATHA MINISTRY.

Comments
Post a Comment