SAA YA WOKOVU NI SASA. #BADILIKA.
MUNGU anatamani uisikie sauti yake leo.
Yawezekana uliokoka na umerudi nyuma, amka ulipojikwaa, Mungu ni wa rehema anajua udhaifu wako. AMESHAKUSAMEHE.
AMUA KUTOKA MOYONI, BORA KUISIKILIZA SAUTI YA MUNGU LEO, MAANA HUTAJUTIA UAMUZI HUU.
#SHARE


Comments