Naibariki Jumatatu yangu, Jumatatu yangu ni ya USHINDI, Jumatatu yangu ni ya KUFANIKIWA, Jumatatu yangu ni ya KICHEKO, SITAKUWA kama NILIVYOKUWA, Haleluya, YESU Nakupenda, Asante BWANA...........Jumatatu yangu (YAKO) IMEBARIKIWA.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment