Naibariki Jumatano Yangu (Yako), MUNGU BABA Ni MZURI, YEYE ANANIWAZIA MEMA DAIMA, Mwaka huu AMESEMA Atafanya Chochote ili Mradi niwe na KICHEKO, niwe na FURAHA, niwe na AMANI, Kweli WEWE MUNGU BABA NI MZURI, NAKUPENDA,,,,,,,,,,,,,Jumatano yangu (yako) IMEBARIKIWA.
MPENDE MUNGU, MWAMINI MUNGU, ISHI MAISHA MATAKATIFU.

Comments