Naibariki Ijumaa yangu, ..... Ijumaa yangu IMEBARIKIWA, SITAOGOPA Mabaya maana BWANA YU pamoja nami na ATANISHINDIA, YESU WEWE Ni MZURI, Nakupenda BWANA, Asante, Asante.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment