Naibariki Ijumaa yangu, Nitauona WEMA WA MUNGU Ukinizunguka, Nitauona UPENDO WA MUNGU Ukiniponya, Ukinifungua, Ukiniweka HURU, Ukinishindia, ....... UKINIBARIKI, Leo Nitauona WEMA WA MUNGU, Leo Nitauona UPENDO WA MUNGU kwangu.
Asante MUNGU wangu, Nakupenda, Ijumaa yangu (yako) IMEBARIKIWA.
Comments
Post a Comment