Naibariki Ijumaa yangu, MUNGU BABA Amenibariki, na NENO lake ni KWELI, SITAPUNGUKIWA wala SITAHITAJI maana YEYE Yu Pamoja nami, Atanifanya NIFURAHI na KUSHANGILIA, Hayo ndiyo MAPENZI YAKE Kwangu, Haleluya, Nakupenda MUNGU, Nakupenda MUNGU, Nakupenda BABA, Ijumaa yangu IMEBARIKIWA, Asante YESU.
Comments
Post a Comment