Naibariki Alhamisi yangu, Hakika MUNGU BABA ni MZURI, YEYE ni NGUVU zetu, YEYE ni UHAI wetu, YEYE ni UZIMA wetu, YEYE ni USTAWI wetu, YEYE NI KILA KITU KWETU,...... Ni NINI TUTATAKA TUKOSE KWAKE? HAKIKA MUNGU NI MZURI, FURAHI Mwanangu Alhamisi yako IMEBARIKIWA, WEWE NI MSHINDI, FURAHI.

Comments