MKESHA MKESHA MKESHA............. MKESHA WA IBADA YA ROHO MTAKATIFU NGUVU YA MUNGU, Leo kuanzia saa mbili usiku Kibaha Precious Centre Efatha Ministry.
Mjulishe na mwenzako, na Jirani yako, Ndugu zako, Wazazi wako, Rafiki zako, Wanafunzi wenzio, Wafanyakazi wenzako na Woooooote wenye Mapenzi Mema.
Njoo ukutane na NGUVU YA MUNGU, Mkesha wa ROHO MTAKATIFU.

Comments