️MAOMBI NA USHAURI WA MTU MMOJA MMOJA;
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira anawakaribisha watu wote katika USHAURI na MAOMBI ya mtu mmoja mmoja, yanayofanyika kila siku za wiki (Jumatatu hadi Ijumaa) Kanisani Efatha Ministry Mwenge Dar es salaam. 

JE? NINI KINA KUSUMBUA? 
NJOO EFATHA MAHALI YESU ANATENDA KAZI..

Kwa msaada zaidi kama unataka Kuokoka, au Maombi wasiliana na Mchungaji kwa No 0754 753 182

Comments