"Ili uweze kuitumia NGUVU ya Mungu, na itende kazi kwako; tumia muda mwingi kujifunza kuhusu Mungu. Pia taka kujua unauwezo kiasi gani na je! adui unayeshindana nae, anauwezo kiasi gani; hii itakupa kuwa MSHINDI kila iitwapo leo."
© Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry).
Comments
Post a Comment