Huduma ya EFATHA MINISTRY inakukaribisha katika MKESHA wa mwisho wa mwezi; "MKESHA WA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU" utakaofanyika PRECIOUS CENTRE KIBAHA siku ya Ijumaa (26/01/2018) kuanzia saa 2 usiku.
Mkesha utaongozwa na Mtumishi wa Mungu, MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA.
Kwa walio mbali, tutaungana kupitia;
- Trenet TV.
- Youtube (Efatha Ministry).
- Facebook page (Efatha Ministry).
- Blog (www.efathaministry.blogspot).
- Twitter (Efatha Ministry).
- Instagram (Efatha Ministry).
- Website (www.efathaministry.org).
- Efatha Radio App (download kupitia playstore).
- Mixlr (Efatha Ministry).

Comments