KATIKA PICHA: Mtumishi wa Mungu Mchungaji Ruffers Christiee Kutoka
Efatha Ministry Pakistani pamoja na watumishi wengine wakiwa na Diary
za Efatha Ministry za Mwaka 2017.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment