SOMO: NGUVU ZA MUNGU .
Yeyote mwenye Neema na Nguvu za Mungu anaheshimiwa. Hata kama mume wako hajaokoka ukiwa na Neema na Nguvu za Mungu ukimwambia kitu atakusikiliza.
Ukiwa na hiyo Nguvu adui zako watakimbia mbele yako, Mungu hatakuacha, wewe ni tishio katika mazingira yanayo kuzunguka.
Unaenda kumiliki uridhi wako na kustawi sana. Omba Mungu akupe Nguvu zake maana ukiwa nazo unakuwa kichwa na sio mkia .
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira

Comments
Post a Comment