SOMO : MATENDO YA NGUVU YA MUNGU:
Kama NENO la MUNGU linakaa ndani yako chochote utakachosema kitakuwa kama ulivyosema. Kuanzia Leo naamuru NENO la MUNGU likae ndani yako ili utakapokuwa unaongea na Boss wako, jirani yako, mke /mume wako na adui yako akusikilize.
Watu wenye Nguvu ya MUNGU wanapoongea katika mamlaka MUNGU anawasikikiliza kwa sababu mwenye mamlaka ni MUNGU. Kuanzia leo MUNGU atakusikiliza na lolote ulitendalo litafanikiwa.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

Comments
Post a Comment