PICHANI: Mtumishi wa MUNGU Dr. Morris Cerullo akisimulia habari ya ugonjwa uliompata akafikia hatua ya ku-pooza akawa anatembea kwa wheel-chair, alikua na kidonda kikubwa mguuni nyama imelika. Lakini ashukuriwe MUNGU maana alimponya, jambo la kushangaza ile sehemu haina hata kovu. Ngozi imekua kana ya mtoto.. HALELUYA! Usikate tamaa YESU ANAWEZA

Comments