MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA :
Kutokana na ile taji ya miiba YESU aliyovalishwa kichwani mwake, mawazo yako yamekombolewa hivyo hutafikiria mambo madogo madogo, uovu hautakuwa kwako, huta jiona mdogo tena, wakati wote utajiona mtu mkuu na wakuu watasikiliza mausia yako.
Mume/mke wako, familia yako na Boss wako watakusikiliza. Kuanzia sasa Wewe ni mshindi.

Comments